Mishikaki
Inatolewa na Aslay Mihogo coco beach
Mishikaki ni kipande cha nyama kilichokatwa vipande vidogo na kuchomwa juu ya jiko la mkaa, mara nyingi kikiwa kimechovywa kwenye viungo vya kupika ili kuipa ladha ya kipekee. Mishikaki huweza kuwa ya nyama ya ng’ombe, mbuzi, kuku, au hata samaki, kulingana na upendeleo wa mteja.