Maji ya Kunywa
Inatolewa na Afya
Watercom ni kampuni maarufu nchini Tanzania, inayosifika kwa chapa zake mbalimbali za biashara: Afya kwa maji safi ya kunywa. NI JERO TU! Afya Drinking Water 1L sasa inapatikana kwa Tsh 500 tu! Maji safi, salama, na yenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu zaidi!