Channeli za Dstv

Inatolewa na Dstv Tanzania
Empty Star Empty Star Empty Star Empty Star Empty Star 0/5.0 - Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Channeli za Dstv

Inatolewa na Dstv Tanzania

DStv Habari,Fahamu aina mbali mbali za vifurushi vyetu na gharama zake; 1.#BOMBA Hiki ni kifurushi cha kwanza kabisa kwenye DStv,ambacho kina channel zaidi ya 80,za michezo,watoto,sinema,makala,Dini,mziki n.k,Kifurushi hiki kinalipiwa sh.19,900/=kwa mwezi. 2.#FAMILY Ni kifurushi cha pili baada ya bomba ,ambacho kimebeba channel zaidi ya 100,zikiwemo za watoto,michezo,burudani,movies,makala,kimataifa,Mziki na nyinginezo nyingi,gharama yake ni sh.29,900/= kwa mwezi. 3.#COMPACT Hiki ni moja kati ya vifurushi pendwa kwenye DStv,ambacho kimesheheni channel nyingi za michezo,movies n.k ,,kina channel zaidi ya 130 hii inalipiwa 49000/=kwa mwezi!. 4.#COMPACT_PLUS Hiki ni kifurushi Cha nne baada ya bomba,family na compact,kina channel zaidi ya 140 za namna tofauti tofauti ,zikiwemo za michezo ,watoto,Sinema,mziki,burudani n.k, gharama zake kwa mwezi ni sh.89000/= 5.#PREMIUM Hapa ndipo channel zote za DStv zinapatikana,hiki kimebeba vifurushi vyote ambavyo vimekwisha orodheshwa hapo juu,na kina channel zaidi ya 150,aina mbali mbali yaani kila nyanja,gharama yake kulipia kwa mwezi ni sh.139000/= Offer! ,Jiunge sasa na DStv kwa Sh.79000, tukupatie Offer ya kifurushi mwezi 1 buree,Bei elekezi ya ufundi ni Sh.10000,tutakufikia popote DSM👉👉0656-600475 au 0763339099

Do you think there's a problem with this review?

You can use this reporting if you're a consumer

Want to report this review?

Please choose a reason

Birthday:

Login Info: