Orodha ya channeli zote startimes na bei zake
Inatolewa na Startimes
Fahamu orodha ya chaneli za StarTimes na vifurushi vyake pamoja na bei zake. Lipia sasa StarTimes na usikubali kuhadithiwa kujiunga na kifurushi ukipendacho piga *150*63# kisha fuata maelekezo. #StarTimes furahia ulimwengu wa dijitali Tanzania. Zipo chaneli za Mpira,chaneli za movies za majuu na Chaneli za Kiswahili