Golden Rose Matte Lipstick Crayon
Inatolewa na Atsoko Duka la Vipodozi na Urembo
Atsoko Wanauza Golden Rose Matte Lipstick Crayon Ni lipstick ya kisasa yenye muundo wa crayon inayopakwa kwa urahisi na kutoa rangi angavu ya matte. Inatoa mvuto wa kipekee kama lip liner na laini kama lipstick, bila kukausha midomo na hudumu kwa muda mrefu.