Gauni za Sherehe na Usiku (Party & Evening Dresses)
Inatolewa na Fashion and Beauty Point
Wanauza gauni mbalimbali kwa ajili ya sherehe kama harusi, send-off, kitchen party, au hafla za usiku. Gauni hizi zinapatikana kwa mitindo mbalimbali, zikiwa na mapambo ya kuvutia kama lace, sequins na satin.