Huduma ya Makeup ya Kitaalamu
Inatolewa na Lavie Makeup
Lavie Makeup hutoa huduma ya kupamba kwa hafla mbalimbali: Makeup kwa maharusi – muonekano wa kipekee na unaodumu kwa harusi. Makeup ya hafla – kwa send-off, kitchen party, birthdays na matukio maalum. Makeup ya kila siku – mwonekano wa asili na wa kitaalamu kwa matumizi ya kawaida au ofisini. Makeup kwa photoshoot & video shoot – inayodumu, isiyo chubuka, na inayoendana na mwanga wa kamera.