Maji ya Micellar
Inatolewa na Nsquare cosmetics
Hili ni suluhisho la kusafisha uso linaloondoa vipodozi (makeup remover), uchafu, na mafuta usoni bila kuharibu au kukausha ngozi. Maji ya micellar yanafaa kwa aina mbalimbali za ngozi, hata zile nyeti, na hayahitaji kusafishwa kwa maji baada ya kutumia.