Ususi wa Nywele (Hair Styling & Braiding)
Inatolewa na Lande Beauty Salon Hq
Lande Beauty Salon hutoa huduma ya kusuka nywele kwa mitindo tofauti — iwe ni mitindo ya kawaida ya kila siku au ya hafla maalum. Wanasuka staili kama box braids, cornrows, twist, dreadlocks na mitindo mingine ya kisasa