Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu Huduma Hii
Shishi Food mara nyingi hutoa huduma ya futari wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Futari hii huwa ni mchanganyiko wa vyakula mbalimbali kama samaki, chapati, tambi, maharage, ndizi, mayai, maandazi, viazi, firigisi, na kuku
Tufuatilie hapa
Chagua Toleo la Kusoma: