Huduma za Wagonjwa wa Nje (Outpatient Clinics)
Inatolewa na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
Wagonjwa wanaofika kwa uchunguzi au ufuatiliaji hupokelewa katika kliniki mbalimbali kulingana na aina ya tatizo, mfano: kliniki ya moyo, kisukari, kansa, afya ya uzazi, macho, masikio, ngozi, na nyingine. Miadi hupangwa kwa wagonjwa wapya au wa kurudi.