Shoo Za Cheka Tu
Inatolewa na Cheka tu live Comedy show
Shoo za Cheka Tu ni matukio ya ucheshi wa moja kwa moja (live comedy shows) yanayofanyika mara kwa mara katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kila shoo huwa na wachekeshaji tofauti, kaulimbiu maalum, na mpangilio wa kipekee unaoendana na mada husika ya siku hiyo.