Huduma za Afya ya Akili
Inatolewa na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
Muhimbili ina kitengo kinachoshughulika na matatizo ya afya ya akili, ikiwa ni pamoja na: ushauri wa kitabibu, matibabu ya dawa, na huduma kwa wagonjwa wa akili wa muda mrefu. Pia kuna wodi ya kulaza wagonjwa wa afya ya akili.