Mavazi ya Watoto Wakubwa (Miaka 6–12)
Inatolewa na Watoto Fashion Tz - Nguo
Wanauza mashati ya mitindo, suruali za jeans, suruali za vitambaa, blauzi, gauni rasmi na suti za watoto wa kiume. Mavazi haya yanawafaa watoto wakubwa katika shughuli za shule, matembezi ya familia, au sherehe maalum.