Taa (Lighting Fixtures & Bulbs)
Inatolewa na Tronics
Taa ni bidhaa muhimu inayotumika kutoa mwangaza. Tronic na wauzaji wengine hutoa aina mbalimbali za taa kama: LED Bulbs – hutumia umeme kidogo na hudumu kwa muda mrefu. Flood Lights – kwa matumizi ya nje, viwandani au maeneo ya ulinzi. Ceiling Lights & Panel Lights – hutumika ndani ya nyumba au ofisini kutoa mwanga mkubwa na mzuri. Street Lights – kwa barabara na maeneo ya wazi.