Cables (Waya za Umeme)
Inatolewa na Tronics
Cables hutumika kusafirisha umeme kutoka chanzo hadi kifaa au sehemu inayotakiwa. Aina kuu ni: Flat Twin & Earth Cables – kwa wiring ya ndani ya nyumba. Flexible Cables – hutumika kwenye vifaa kama viyoyozi, friji, nk. Armoured Cables – kwa matumizi ya nje au viwandani, huhimili mazingira magumu.