Switches (Vibadili Umeme)
Inatolewa na Tronics
Switches hutumika kuwasha au kuzima umeme kwenye taa au vifaa. Tronic na wengine hutoa: Single Pole Switch – ya kawaida kwa kuwasha taa moja. Double Pole Switch – hudhibiti live na neutral kwa usalama zaidi. Dimmer Switch – huruhusu kudhibiti mwangaza. Smart Switches – hufanya kazi kwa kutumia Wi-Fi au Bluetooth.