Sockets (Vipokezi vya Umeme)
Inatolewa na Tronics
Sockets ni sehemu za kuunganisha vifaa vya umeme kama friji, kompyuta, microwave n.k. Aina zake ni: 13A Switched Socket – ya kawaida inayopatikana kwenye nyumba nyingi. Double Socket – ina nafasi mbili za kuunganisha vifaa. USB Sockets – zinazowawezesha watumiaji kuchaji simu au vifaa vya USB bila adapter. Weatherproof Outdoor Sockets – zinafunikwa na hazipitishi maji.