Suluhu za Usafiri wa Mizigo
Inatolewa na FedEx Ship center
Kampuni ya FeDex nchini Tanzania hutumia njia mbalimbali za usafirishaji wa bidhaa na mizigo mikubwa na midogo katika kutoa huduma bora na uhakika kabisa. Njia hizo ni Usafiri wa angani,Maji, pamoja na Aridhini kwa usalama kutoka ofisini hadi kumfikia mteja husika.