Usakinishaji wa Refractory (Refractory Installation Works)
Inatolewa na Kinoko General Enterprises Limited
Kinoko hutoa huduma za ufungaji wa matofali maalum kwa ajili ya tanuru, mashine za juu joto, boiler na mitaala nyingine ya viwandani. Inajumuisha installation ya refractory castable, rammed, shotcreted na ceramic fibre