Ujenzi na Matengenezo ya Mstari wa Usambazaji (Distribution Lines)
Inatolewa na Electrical Transmission Distribution Construction and Maintenance Company Limited
Kampuni ina michakato ya kubuni, kusanifu, kusanisha na kudumisha mistari ya medium/low-voltage katika maeneo kama Kilimanjaro, Mwanza, Kigoma na Ruvuma kupitia miradi ya REA