Matengenezo ya Miundombinu ya Umeme
Inatolewa na Electrical Transmission Distribution Construction and Maintenance Company Limited
Huduma ya ujenzi kamili pamoja na matengenezo ya mara kwa mara (preventive na corrective maintenance) kwa miundombinu ya usafirishaji na usambazaji wa umeme