Usimamizi wa Mali (Property Management)
Inatolewa na PS Tanzania Limited
Wana huduma ya: Kusimamia nyumba za kupangisha au kuuza kwa niaba ya wateja Kukusanya kodi Kuhakikisha mali inatunzwa vizuri Kuwasiliana na wapangaji au wanunuzi kwa niaba ya mmiliki. Huduma hii ni muhimu kwa watu waliopo mbali au wasio na muda wa kusimamia mali zao moja kwa moja.