Tathmini na Ushauri wa Uwekezaji
Inatolewa na PS Tanzania Limited
Kampuni pia hutoa huduma ya: Tathmini ya mali (property valuation) ili kusaidia katika bei ya kuuza/kununua. Ushauri wa uwekezaji katika sekta ya ardhi na ujenzi, kwa watu binafsi au mashirika yanayopanga kuwekeza kwenye viwanja, nyumba, au majengo ya biashara. Huduma hii huwasaidia wateja kufanya maamuzi yenye tija na kuepuka hasara kwenye uwekezaji wao.