ATM

Inatolewa na Benki ya CRDB
0/5.0- Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

ATM

Inatolewa na Benki ya CRDB

Mashine zetu za ATM ni huduma zinazokuwezesha mteja kuweka na kutoa pesa zako kwa usalama zaidi. Jinsi ya kuweka na kutoa pesa kwenye ATM. 1️⃣ Chagua Lugha 2️⃣ Ingiza namba ya akaunti 3️⃣ Weka namba ya simu 4️⃣ Thibitisha namba ya akaunti 5️⃣ Weka maelezo 6️⃣ Weka pesa kwenye kisanduku 7️⃣ Thibitisha kiasi kwa kila noti 200 zinazohesabiwa 8️⃣ Thibitisha kiasi ulichoweka 9️⃣ Chukua risiti yako na kisha utapokea ujumbe kwenye simu yako.

Sign In