Mikopo kwa Watu Binafsi na Biashara
Inatolewa na Equity Benki (Tanzania)
Equity Bank inatoa mikopo kwa watu binafsi kwa matumizi ya nyumbani, elimu, au ununuzi wa mali. Pia kuna mikopo kwa wafanyabiashara wadogo, wa kati na wakubwa kwa ajili ya mitaji, vifaa vya uzalishaji au kupanua shughuli.