Huduma za Mikopo kwa Watu Binafsi
Inatolewa na Azania Benki
Benki inatoa mikopo kwa wafanyakazi wa umma na sekta binafsi kwa ajili ya matumizi kama elimu, afya, ujenzi wa nyumba, au kununua mali kama gari. Mteja hupata mkopo baada ya kukidhi masharti ya benki ikiwemo uthibitisho wa kipato.