Huduma ya Delivery
Inatolewa na Shishi Food Restaurant
Shishi Food inatoa huduma ya free delivery kwa wateja waliopo katika maeneo ya karibu, kulingana na vigezo na masharti. Huduma hii inalenga kuwafikia wateja kwa urahisi na kuwahudumia chakula bila wao kufika moja kwa moja mgahawani