Huduma Binafsi za Milo
Inatolewa na Shishi Food Restaurant
Shishi Food inatoa huduma binafsi za milo, ambapo mteja akiwa mgahawani anaweza kupanga aina ya mlo anaoutaka na kuandaliwa kulingana na mahitaji yake maalum. Huduma hii inawawezesha wateja kupata chakula kinacholingana na ladha na matakwa yao binafsi.