Lipa kwa T-Pesa
Inatolewa na Mtandao wa simu TTCL
Huduma hii ni suluhu ya malipo ya Wafanyabiashara iliyoanzishwa ili kuweka malipo kidijitali katika mfumo wa reja reja wa Tanzania na kuwawezesha wafanyabiashara na wauzaji reja reja kukusanya malipo kwa urahisi huku wakiwasaidia wateja kuepuka hatari na mizigo ya kubeba pesa taslimu.