Huduma za taarifa za malipo
Inatolewa na Mtandao wa Airtel Tanzania
Tumeboresha huduma zetu kukupa urahisi wa malipo.Lipia bili zako kwa usahihi ukiwa na Airtel Money! pata taarifa za kiasi unachotakiwa kulipia bili yako ya serikali kwa kutumia control namba, meter namba, account namba au namba ya gari ikiwa unataka kulipia faini za barabarani. Pakua My Airtel App.Kwa kupata huduma zote za Airtel kwa kupiga *148*60# au *150*60#. Tumia Control namba, mita namba au namba ya gari kupata taarifa au kiasi sahii unachotakiwa kulipa ukiwa na airtel Money.