Ujenzi wa Vyoo Vya Umma
Inatolewa na Dawasa-Maji,Umma
Mamlaka ya usambazaji wa huduma ya maji safi na maji taka imesaidia jamii katika kuhakikisha inatunza mazingira ya jiji kuwa safi kwa kuwajengea wananchi vyoo safi na salama hasa maeneo ya biashara kwenye masoko mbalimbali ya serikali.