Huduma ya Satelite tv Dish
Inatolewa na Zuku
Zuku inakupa huduma ya Satellite TV Devices & Accessories ; King'amuzi pekee yake, Rimoti,Satellite TV Vifaa Vyote + Mwezi mmoja wa kifurushi cha Zuku premium bure. Karibu katika Duka la Zuku huduma kwa wateja linalopatikana jengo la Copy Cat zamani BMTL, mkabala na petrol stesheni ya OILCOM Victoria wilayani Kinondonijijini Dar es Salaam. Pata huduma zote muhimu kutoka Zuku katika duka hili. Zuku Satellite inakupa burudani bora na ya gharama nafuu ya Satelaiti Television moja kwa moja nyumbani kwako.