Cheka Tu Talent Search

Inatolewa na Cheka tu live Comedy show
0/5.0- Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Cheka Tu Talent Search

Inatolewa na Cheka tu live Comedy show

Cheka Tu Talent Search ni sehemu maalum ya kutambua na kukuza vipaji vya ucheshi kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania. Lengo kuu la mpango huu ni kuwapa nafasi vijana wenye kipaji cha kuchekesha kuonesha uwezo wao mbele ya hadhira, majaji, na watazamaji. Washiriki hupitia mchakato wa mchujo, majaribio jukwaani, na mafunzo ya msingi ya uwasilishaji wa ucheshi. Wale wanaofanya vizuri hupata nafasi ya kushiriki kwenye shoo rasmi za Cheka Tu na kuendelea kukuza vipaji vyao kupitia jukwaa hili

Sign In