Simu Benki
Inatolewa na Benki ya CRDB
Tuko nawe masaa 24, siku 7 za wiki uendako na SimBanking inayokuwezesha kufanya miamala yako kwa kutumia simu ya kiganjani muda wowote, mahali popote. Huduma hii inapatikana kwa kubonyeza *150*03# au kwa kupakua programu ya SimBanking App kutoka App Store au Google Play