Huduma kwa Mteja
Inatolewa na Mc. Anthony Luvanda
Anafanya kazi mbalimbali kama mjasiriamali wa kujitegemea katika shughuli ya kijamii. Shughuli za Ushehereshaji kwenye kumbi za Harusi,na sherehe mbalimbali. Pia anaelimisha jamii hususani kwenye uwekezaji kiuchumi. Anapatikana kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii kama LinkedIn,fb,na Instagram kwa jina la Mc Anthony Luvanda