Huduma kwa Mteja
Inatolewa na Zuu Makeup Studio
Zuu makeup studio ni wataalam wa mapambo na bidhaa za urembo wa ngozi kwenye shughuli mbalimbali hasa za harusini. Makeup artist(MUA) Bukoba (Banana hotel) Mmiliki @zuuweddingscollection. Tuzo za @harusiawards @womenroundtabletz @kageraawardssofficial 0762055772.