Ushauri wa Urembo (Beauty Consultation)
Inatolewa na Lande Beauty Salon Hq
Watoa ushauri wa kitaalamu kuhusu huduma bora kwa aina ya ngozi, nywele au hafla husika. Hii inajumuisha kupendekeza mitindo ya nywele, aina ya makeup au rangi za kucha zinazofaa kulingana na muonekano wa mteja au tukio analohudhuria