Timiza
Inatolewa na Mtandao wa Airtel Tanzania
Timiza ni huduma ya kifedha inayotolewa na Airtel Money inayomuwezesha mtumiaji kukopa fedha na kuitumia kwa matumizi mbalimbali kama vile kulipia bidhaa, huduma, au kutuma pesa. Mtumiaji hulipa mkopo huo baadaye kulingana na masharti yaliyowekwa. Huduma hii inalenga kutoa suluhisho la haraka kwa wateja wanaohitaji fedha kwa dharura