Huduma za Kibenki Kidigitali

Inatolewa na Equity Benki (Tanzania)
0/5.0- Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Huduma za Kibenki Kidigitali

Inatolewa na Equity Benki (Tanzania)

Kupitia huduma ya Equity EazzyBanking, wateja wanaweza kutumia simu ya mkononi au kompyuta kufanya miamala ya kibenki. Huduma hii inajumuisha kutuma pesa, kulipa bili, kuangalia salio na miamala ya akaunti.

Sign In