Mikopo kwa Biashara na Wajasiriamali

Inatolewa na Azania Benki
0/5.0- Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Mikopo kwa Biashara na Wajasiriamali

Inatolewa na Azania Benki

Azania Bank inahudumia wafanyabiashara kwa kutoa mikopo ya biashara kwa ajili ya kuongeza mtaji, kununua bidhaa, au kuendeleza shughuli za uzalishaji. Mikopo inatolewa kwa biashara ndogo, za kati, na mashirika.

Sign In