Huduma za Kidigitali (Mobile & Internet Banking)
Inatolewa na Azania Benki
Benki inatoa huduma za kibenki kupitia simu za mkononi (Mobile Banking) na kompyuta (Internet Banking), ambapo wateja wanaweza kufanya miamala, kuangalia salio, kulipia huduma, na kupata taarifa za akaunti bila kufika benki.