Mikopo kwa Wajasiriamali na Vikundi
Inatolewa na Microfinance benki
Benki hutoa mikopo kwa biashara ndogo (micro-businesses), vikundi vya wanawake, vijana, au wakulima kwa lengo la kuongeza mitaji yao. Mikopo hii mara nyingi hutolewa kwa masharti ya marejesho ya muda mfupi hadi wa kati.