Vifaa vya Kitaaluma (Modules & Learning Materials)
Inatolewa na University of Dar es salaam (UDSM)
Kwa kozi nyingi, chuo hutoa modules, notes, na vifaa vya kujisomea vilivyoandaliwa na wahadhiri wa chuo kwa matumizi ya wanafunzi waliopo na wa elimu kwa umbali