Msaada kwa Vikundi vya Kilimo na Vijana Wajasiriamali
Inatolewa na HAICCO Tanzania
HAICCO huwezesha vijana na makundi maalum kwa kuwasaidia:
Kupata mbegu bora na pembejeo
Kupata mitaji na kujua namna ya kuendesha kilimo biashara
Kupata masoko ya bidhaa zao