maji safi
Inatolewa na Dawasco house,Maji-Umma
Huduma zitolewazo na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ni:- i. Uzalishaji, usafirishaji, uhifadhi na usambazaji wa Majisafi. ii. Kuwaunganishia na kuwasambazia wateja Majisafi. iii. Kuwaunganisha wateja kwenye mfumo wa Majitaka. iv. Uondoaji wa Majitaka kwa kutumia magari kwa wateja ambao hawajaunganishwa kwenye mfumo wa Majitaka. v. Kuandaa ankara na kuwasilisha kwa wateja kwa wakati.