Bus Ticketing Online services
Inatolewa na Basi- Bora App
BusBora ni soko linaloongoza Tanzania kwa tikiti za basi na mfumo wa usimamizi. Tunatoa huduma zinazowawezesha waendeshaji mabasi na wasafiri kufanya kila kitu mtandaoni. Wateja wanaweza kupata tikiti zao za kusafiri wakiwa nyumbani, ofisini na mahali popote nchini.