Exim Benki (Tanzania)
Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1997, Benki ya Exim imekuwa miongoni mwa watoa huduma za kifedha wanaoongoza nchini Tanzania, Comoro, Djibouti, na Uganda, ikiwa na ofisi ya uwakilishi nchini Ethiopia. Kuwapo kwetu kwa mawanda mapana kunaonesha kujizatiti kwetu katika kutoa masuluhisho ya masuala ya kifedha ulimwenguni, kuimarisha nafasi yetu katika utoaji huduma za benki. Kwetu, mafanikio yanadhihirishwa na athari tunazosababisha kwa wateja, jamii, na washirika. Iwe ni suluhisho kwa mtu binafsi au suluhisho la changamoto kubwa kwa mashirika, tumedhamiria kutoa huduma za jumla ambazo zinaendana na mahitaji ya kipekee ya kila mteja.
Tovuti
https://www.eximbank.co.tz
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 222293000