Kadi ya Exim Benki
Inatolewa na Exim Benki (Tanzania)
Kadi ya Exim Bank inakupa huduma na bidhaa za kibenki zenye kuleta matokeo chanya kwenye uchumi na Maisha yako kwa ujumla. Unatafuta njia za kukuza biashara yako? Karibu Exim Bank upate sulihisho mbalimbali za kifedha kutokana na mahitaji yako na kuweza kufanikisha malengo yako. Nunua bidhaa mtandaoni kwa haraka na urahisi ukiwa na kadi ya Exim. Tembelea tawi lililopo karibu nawe ujipatie kadi yako sasa. Maliza kirahisi malipo yako ya bidhaa na huduma kutumia Exim MasterCard na ujiweke kwenye nafasi ya kushinda safari ya Dubai, South Africa au Uturuki wewe na mwenza wako huku kila kitu kikiwa kimelipiwa. #ChanjaKijanja #EximBankTz