Effco Solutions (T) Limited
Effco Solutions ni kampuni iliyoanzishwa mwaka 2010 jijini Dar es Salaam inayotoa huduma za kukodisha (plant hire) mashine nzito, usambazaji wa vifaa vya ujenzi, kazi za uhandisi wa kiraia (civil engineering) na msaada wa migodi na miradi ya barabara
Tovuti
https://www.effco.co.tz/
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 764700100